Pages

Wednesday, 19 October 2016

Women Luncheon

Discussion,Drinks and Dance
kwa wanawake wote wa Dar es Salaam mnakaribishwa sana katika mtoko wa wanawake na watoto wao,kutakuwa na wataalamu mbalimbali wa masuala yanayohusu wanawake,hasa Afya ya Uzazi,watoto,malezi bora,uchumi na mahusiano.Ni kwa kiingilio cha tsh 10000/- tu piga simu 0719666564 kupata ticket yako

Activities;discussions,drinks,dance and kids fashion show

Tarehe;23 October 2016

Muda;saa tano asbh hadi saa 11 jioni

Kiingilio;tsh 10000/-

Dresscode;African Prints.No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...