Pages

Tuesday, 1 October 2013

I AM IN LOVE WITH THIS BRIDE...SHE JUST PROVED KWAMBA KUWA NA MIMBA SI SABABU YA KUTOKUFURAHIA HARUSI YAKO

NDOA NI JAMBO LA KHERI KWA HIYO NI VEMA UKAFURAHIA TUKIO LA HARUSI LINALOSINDIKIZA JAMBO HILI KWA KUWA NI KATI YA SIKU MUHIMU AMBAYO HUWA HAIJIRUDII MARA MBILI...HATA IKUKUTE WAKATI GANI NA UNA HALI GANI MIE NASHAURI UWEKE SHIDA CHINI UBANJUKE TU...SHUGHULI IKIISHA BEBA SHIDA ZAKO UKAHANGAIKE NAZO HUKO MAANA HAZIISHI.....
YAANI I AM SO PROUD OF HUYU BI HARUSI MAANA HATAJUTIA SIKU HII NA ALWAYS AKIZIANGALIA PICHA ZAKE ATACHEKELEA TU...

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...