Pages

Saturday, 8 June 2013

BLACK IS BEAUTIFUL;MIRRIAM ODEMBA

 NAMPENDA SANA MIRIAM ODEMBA,,,,

NILIANZA KUMSIKIA MIAKA SIJUI YA 1990'S NIKIWA SHULE YA MSINGI KWENYE TANGAZO LA SABUNI YA REVOLA...NILIMPENDA SANA....THEN AKAWEKWA KWENYE TANGAZO LA SIMU YA TTCL KITABU CHA NAMBA ZA SIMU MWAKA 1999...NILITUNZA HILO COVER MIAKA.....AKAJA NA STYLE YA KUFUNGA KIREMBA CHA ODEMBA NILIKUWA MFUASI MZURI SANA...
HER STYLE YA KUNYOA NA UNATURAL NDIYO INAYOMFANYA AWE THE BEST KWANGU...KIUKWELI YEYE NDIYE MY INSPIRATION NA NDIYE ALIYENIFANYA NITAMANI KUJUA MASUALA YA UREMBO NA UANAMITINDO KWA UJUMLA....


             MUNGU AMPE MAISHA MAREFU,AFYA NYEMA NA BARAKA TELE

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...