Pages

Thursday, 28 March 2013

TRENDING;NGUO NDEFU SHUGHULINI

NIMEOBSERVE KWENYE MASHUGHULI MENGI SIKU ZA KARIBUNI WADADA WANATUPIA NGUO NDEFU ESPECIALLY MAGAUNI MAREFU,KITU AMBACHO KILIKUWA  ADIMU MIAKA MIWILI MITATU YA NYUMA AS STYLE ILIKUWA KUVAA VIGAUNI VIFUPI SIMPLE SIMPLE...ILA SASA NI LONG DRESSES ZILIZOMIXIWA NA LACE,CHIFFON,MPIRA,COTTON NA BEADS....
HERE ARE SOME PICTURES FROM DIFFERENT SITES AND EVENTS WHERE WOMEN CHOSE THE LONG DRESSyaweza kugusishwa kitenge kwa mbali the rest ikawa chiffon ya kumwaga
unaweza shona nguva kitenge sketi na sequin top
a full kitenge dress with details za lace kwa mbali
bright color kwa side mbili na kitenge katikati au vise versa
backless,pull neck,long sleeves you name it
zingatia shoulder detail na mpasuo
mapande sita,nane,kumi na kuendelea ushindwe wewe tu,waweza mix the vipandez vya satin na kitenge kunogesha zaidi
one shoulder inahusika sana,long sleeve na mpasuo hatua


the bright colors,beads or urembo nao unanogesha the long dress
the baby collar nayo inahusika sana
sijui inaitwaje siku hizi mimi wakati najifunza kushona mwalimu wangu alisema inaitwa baby collar ila nikilipata hilo jina la kifashionista ntawajuza...
pictures;bella naija & 8020 fashions

 SUBIRA WAHURE IS READY WITH ELEGANT CREATIONS AND DESIGNS FOR THE TRENDING LONG DRESS FOR ANY EVENT BE IT KITCHEN PARTY,WEDDING,SEND OFF,MAHARI,CHURCH OR OFFICE...WE WILL START POSTING SOME OF THE SAMPLES FROM OUR NEWEST COLLECTION SOON SO THAT YOU CAN BE ABLE TO GET WHAT YOU LIKE FROM US.
STAY ON THIS PAGE...AND CONTACT US 0719 66 65 64 FOR ANY INQUIRIES

2 comments:

  1. angel kisarika30 July 2015 at 07:30

    the designs of the dresses are so wouw, i would prefer one

    ReplyDelete
  2. wow..All of you looks beautiful .What a very pretty, festive dress! The colors and fabrics are absolutely perfect, and you look sensational. Great collection dear.
    We have a great collection of African fabrics.Visit us hope you guys love them.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...