Pages

Thursday, 22 March 2012

BE INSPIRED...

Mwanamke kazini......
Hiki kipengele ni mahsusi kwa wanawake na wasichana ,naamini kwa kuangalia jinsi wanawake wengine wanavyofanya kazi kwa kutumia akili na bidii itakuhamasisha na wewe kuinuka hapo ulipojiachia na kutafuta shughuli ya maana ya kufanya,sio lazima uwe daktari,mwalimu,nesi au mhasibu waweza kuwa mjasiriamli mdogo tu na ukajiingizia kipato, kupevuka kifikra na kujikomboa kiuchumi na jamii kwa ujumla...mwenye macho haambiwi tazama...kazi kwako mwanamke 
Inspirational woman; Shamimu Mwasha a.k.a Zeze 
Shamimu ni kati ya wanawake wengi wanaohamasisha (inspire) kwa jinsi ambavyo anaipenda na kuithamini kazi yake.Anamiliki  blog ya 8020 fashions na shughuli nyingine za ujasiriamali, ila mimi nimeguswa zaidi na hii ya ublogger..angalia jinsi anvyojipinda ili kufanikisha lengo lake...anafanya kazi nzuri na wote mnakubaliana nami kwa hilo....Hongera sana dada...Endelea kutoa motisha kwa wanawake na vijana kwa ujumla.....


                                           PHOTO CREDITS;8020 fashions 

1 comment:

  1. nakuwa mkweli...hata mimi nampenda sana shamimu na ninakubaliana na wewe asilimia mia kuwa anajituma na anatia wivu...asante dada shamimu kwa kutuinspire...Dada Subi...i like ur blog ni mpya lakini ina vitu vya ukweli sana....endelea kutupa raha

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...