Pages
▼
Sunday, 31 March 2013
Thursday, 28 March 2013
TRENDING;NGUO NDEFU SHUGHULINI
NIMEOBSERVE KWENYE MASHUGHULI MENGI SIKU ZA KARIBUNI WADADA WANATUPIA NGUO NDEFU ESPECIALLY MAGAUNI MAREFU,KITU AMBACHO KILIKUWA ADIMU MIAKA MIWILI MITATU YA NYUMA AS STYLE ILIKUWA KUVAA VIGAUNI VIFUPI SIMPLE SIMPLE...ILA SASA NI LONG DRESSES ZILIZOMIXIWA NA LACE,CHIFFON,MPIRA,COTTON NA BEADS....
HERE ARE SOME PICTURES FROM DIFFERENT SITES AND EVENTS WHERE WOMEN CHOSE THE LONG DRESS
yaweza kugusishwa kitenge kwa mbali the rest ikawa chiffon ya kumwaga
unaweza shona nguva kitenge sketi na sequin top
a full kitenge dress with details za lace kwa mbali
bright color kwa side mbili na kitenge katikati au vise versa
backless,pull neck,long sleeves you name it
zingatia shoulder detail na mpasuo
mapande sita,nane,kumi na kuendelea ushindwe wewe tu,waweza mix the vipandez vya satin na kitenge kunogesha zaidi
one shoulder inahusika sana,long sleeve na mpasuo hatua
the bright colors,beads or urembo nao unanogesha the long dress
the baby collar nayo inahusika sana
sijui inaitwaje siku hizi mimi wakati najifunza kushona mwalimu wangu alisema inaitwa baby collar ila nikilipata hilo jina la kifashionista ntawajuza...
pictures;bella naija & 8020 fashions
sijui inaitwaje siku hizi mimi wakati najifunza kushona mwalimu wangu alisema inaitwa baby collar ila nikilipata hilo jina la kifashionista ntawajuza...
pictures;bella naija & 8020 fashions
SUBIRA WAHURE IS READY WITH ELEGANT CREATIONS AND DESIGNS FOR THE TRENDING LONG DRESS FOR ANY EVENT BE IT KITCHEN PARTY,WEDDING,SEND OFF,MAHARI,CHURCH OR OFFICE...WE WILL START POSTING SOME OF THE SAMPLES FROM OUR NEWEST COLLECTION SOON SO THAT YOU CAN BE ABLE TO GET WHAT YOU LIKE FROM US.
STAY ON THIS PAGE...AND CONTACT US 0719 66 65 64 FOR ANY INQUIRIES